The Instagram Court and Miss Tanzania majuzi niliiona hii figisu lakini sikuwa na FACTS nikaamua nitasubiri kujua facts kabla ya kutia neno ni kwamba kilichotokea kuhusu hii ishu ni yale yale mambo yetu ya Kiswahili Swahili ya umbeya umbeya na majungu majungu bila hata kujali Facts yaani it takes one hater humu Instagram ku raise a nonsense then inabebwa na haters wengine wahusika wnaishia ku panic na kujivua nguo mbele ya watu wenye AKILI KUBWAZZ like me….WHY? …ninajua for a fact kuwa kati ya Watanzania Millioni 55 ni Watanzania 20 tu wanaoweza kuwa katika maisha yao wamewahi kununua magari mapya yaani Zero Milage otherwise wabongo tumezoea kununua magari Used sasa nikajiuliza tena hivi kuna Sheria ya Jamhuri inayozungumzia zawadi za magari kwa Mashindano ya Urembo? now Kamati ya Miss Tanzania walikua wanatumia reference ipi Kisheria na kuwahukumu watayarishaji wa Miss Lake Zone katika mitandao ya Kijamii? kwanini Miss Tanzania walishindwa kulimaliza hili tatizo kimya kimya kabla ya kukimbilia Instagram? Walikua na haraka gani mbona Rais anatukanwa kila siku na hata kusingiziwa ujinga lakini akampa Jokate anachostahili yaani Ukuu wa Wilaya badala ya kuwaogopa Haters wa Instagram? ….I mean Miss Tanzania mnatuambia nini hasa kwamba Haters wa Instagram ndio watakaokuwa wanawaamulia nini cha kufanya kuliko Sheria na Kanuni?..I mean watayarishaji wa Miss Lake Zone walijitahidi kupigana mpaka kununua gari la zawadi unless Kamati ya Miss Tanzania wangetuambia kwamba Sheria inasema watoe gari la aina fulani na la Mwaka fulani na liwe na milage fulani kwa sisi AKILI KUBWAZZ inge make a sense kwamba ok wamekosea kwa kununua gari ambalo halina viwango lakini kukosekana kwa Rim Covers peke yake na kelele za haters Instagram kumewafanya Miss Tanzania kwenda mbali mpaka kutaka kuharibu Brand ya Watayarishaji wa Miss Lake Zone haikuwa sawa kabisa..ninawaheshimu sana Miss Tanzania lakini kwenye hili mmekosea sana msingekimbilia kutoa hukumu kwenye mitandao ya kijamii cause kwanza mngejiridhisha kwa dealer ambako gari limenunuliwa kama ni kweli lilinuliwa…Miss Tanzania kaeni mbali na mitandao ITAWAGHARIMU mbele ya Safari!