Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Kept. Mst. George Mkuchika amefanya uteuzi wa makatibu tawala wa wilaya ili kujaza nafasi 18 zilizokuwa wazi katika wilaya za Kinondoni, Mpwapwa, Dodoma, Iringa, Bukoba, Kigoma, Siha, Mtwara, Newla, Misungwi, Njombe, Kondoa, Manyoni, Kilindi, Chunya, Pangani, Bagamoyo na Handeni.
Waziri George Mkuchika pia amefanya uhamisho wa makatibu tawala wanne