Mwanadada kutoka bongo movies Shamsa Ford amefunguka na kusema kuwa pamoja na kwamba walipewa ofa ya kwenda afrika ya kusini kwa ajili ya kufurahia pamoja na familia ya Diamond katika siku ya kuzaliwa na mtoto wap tiffah na safari hiyo haijafanikiwa lakini haamini kama zari alisema kuhusu swala la kuchafua nyumba yake.

Hata hivyo shmasa amasma kuwa hata kama kungetokea safari ikakamilika lakini ukweli uatabaki kuwa hasingeweza kwenda kwa sababu  hajuani na familia hiyo hata kidogo hivyo wala asingeenda kokote.

“Mimi huwa siamini maneno ya kwenye mitandao, kwaio hata siamini kama hayo amneno Zari aliyasema kwa sababu sijamsikia akisema, ila binafsi hata kama atakuwa alisema au hajayasema  mimi ningealikwa wala nisingeenda kwa sababu sina ukaribu woowte na wale wanafamilia wote, hivyo wala nisngeenda”