Wanawake Elfu Saba Wananitaka, Watoto Watano Wana Mama Tofauti-Baba Levo

Diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini (ACT-Wazalendo) Manispaa ya Kigoma Ujiji, Clayton Chipando maarufu Baba Levo, amefunguka ndani ya AyoTv mipango yake juu maendeleo ya kata yake pia amezungumzia juu ya familia yake kua ana watoto watano wawili amewakataa kisa hawaamini Mama zao mpaka wakapime DNA.

Baba Levo amezungumza juu ya utani wake kati ya yeye na msanii mwenzake Peter Msechu ambapo hua wanataniana katika kurasa za mitandao ya kijamii huku akimtania pia Mke wa Peter Msechu ambapo ameeleza chanzo cha kuanza kumtania mke wa rafiki yake.