King'amuzi cha Azam Chaziondoa Chaneli Zote za Ndani ya Nchi Ikiwemo CLOUDS TV, TV-E, ITV', EATV

Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imefafanua kuhusu kuondoa Channel za Televisheni za ndani zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka Ving’amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku.