Baada ya Msimu wa Kombe la Dunia kuisha tunarudi kwenye ratiba yetu rasmi ya
Soka la Kibabe la Ligi ya EPL. Wanaotufungulia dimba Ijumaa hii ni mechi kati ya
Manchester United dhidi ya Leicester City. Wazee wa kazi wanasema biashara
asubuhi, je wabingwa hawa wataanzaje msimu huu?
MAJIBU tutayapata Ijumaa hii ndani ya Supersport 3 Saa 3:50 usiku LIVE kwenye
DStv pekee ikiwa kwenye Lugha yetu tamu adhimu ya Kiswahili.
Bila kusahau, wateja wa DStv wanaweza pakua “Download Application” ya
DstvNow itakayowawezesha watanzania wengi kufurahia msimu huu wa soka
kwani unachotakiwa tu ni kuwa na akaunti yako ya DStv na unaweza kutazama
katika vifaa zaidi ya vinne kama vile simu, kompyuta, na televisheni ya kawaida
ukiwa mahali popote wakati wowote!
Huu Moto hauzimi na kama sio DStv, Basi Potezea!