Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Kongwa akivalishwa skafu yenye bebdera ya Tanzania na skauti wa Kijiji cha Chamkomola kama ishara ya kumkubali pamoja na uongozi wa Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli.

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa akaribishwa kwa kwaya ya kanisa la ‘pentecoste’ la Kijiji cha Chamkoloma.

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa akalishwa kwenye kigoda, kuvalishwa shuka na kupewa fimbo na wazee wa jadi wa kata ya Kijiji cha Mangweta kama ishara ya kukubalika na kupitishwa kuwa hana mpinzani Kijiji hicho kwa mwaka 2020.

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa akisalimiana na watendaji wa Halmashauri ya Kongwa mapema leo hii.