Baada ya mwanadada muna love kukanusha tuhuma za kuwa na mtoto mwingine sasa mama yake mzazi ameibuka na kutoboa siri nzito na kuthibitisha kweli mwanaye Rose ambaye anatambulika kama Muna Love anamtoto mwingine ambaye ni wa kwanza kuzaliwa na yupo mkoani kilimanjaro.

Mama huyo ambaye anajulikana kwa jinaa la Bi moza alihojiwa na global Tv na kutobo ziri yote ya muna na kusema kuwa muna anajitangaza kwa watu kuwa mama yake mzazi ameshafariki lakini mama huyo amesema ukweli kwa kutoa historia ya muna na mahali alipozaliwa huku akisema kuwa kama ataendelea kukataa yupo tayari kwenda lugalo ambapo alipozaliwa kwaajili ya kufatilia vizibiti vya kuhakikisha ukweli Huo.

”Mimi ni mama wa muna sijafa japo yeye ameniua ila mimi sijafa yeye ni mwanangu wa nne kati ya watoto wangu watano ni kweli amezaa mara mbili wa kwanza ni Brian yupo moshi hizo picha zinazozagaa kwenye magazeti ni kweli”

Mama huyo aliendelea kusema kuwa chanzo cha muna kumtangaza kuwa yeye amekufa na hana mama ni baada ya kukataa kumfichia siri ya huyo mtoto mwingine ambaye ni wa kwanza kabra ya Patrick

”Amenifanyia vituvingi na huyo Muna ila mimi kama mzazi nimevivumilia wakati baba yake anaumwa alimuiba wakati anatoka mazoezi alimtorosha  na kumficha zaidi ya miezi mitatu mimi pamoja na ndugu zangu tulijaribu kumtafuta sana bila mafanikio maara ya mwisho napigiwa simu yule mzee ameoza mguu kumbe alimpeleka kwa mganga ila nimevumilia ila ipo siku muna ataweza hata mimi kuniua”