Dogo Janja Asheherekea Siku Yake ya Kuzaliwa Akiwa Hospitalini na Mashine ya Kupumulia

September 15,2018 ndio siku ya kuzaliwa kwa msanii Dogo Janja ambapo amesherekea  akiwa na mashine ya kupumulia baada ya kuugua na kulazwa hospitalini.

“Nilikuja kupima juzi nikakutwa na nimonia leo saa tano asubuhi nikawa najisikia vibaya nikapewa kitanda nipo kwenye matibabu ya kifua kwasababu nilikuwa ninahema kwa shida ni tatizo langu la muda mrefu”