DSC_0536
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania(TRC) Masanja Kadogosa akizungumza na waandishi wa habari wakati Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo alipotembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa itakayotumia umeme inayoendelea kujengwa.
DSC_0549
DSC_0560
DSC_0612Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo akimsikiliza maelezo kutoka kwa Wafanyakazi wa kampuni iliyojenga reli ya mwendokasi ya Yapi Markez jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza ziara ya kutembelea mradi wa ujenzi wa reli hiyo.
DSC_0584
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania(TRC) Masanja Kadogosa akitoa maelezo juu ya ujenzi wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza ziara ya kukagua mradi huo kutokea kituo cha Ilala mpaka kituo cha Soga.
DSC_0587
Meneja Mradi mradi wa reli ya kisasa ya standard gauge, Injinia Maizo Mgedzi akizungumza wakati  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo  alipotembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa ya Standard gauge kutokea kituo cha Ilala hadi kituo sha Soga.
DSC_0589
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo  akimsikiliza  maneja mradi wa reli ya kisasa ya standard george Injini Maizo kabla ya kuanza kukagua mradi huo.
DSC_0616
 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo akiwa na baadhi ya wanajeshi wakitemelea kiwanda ambacho kinatengeneza mataaluma ambayo yatatumika katika ujenzi wa reli ya kisasa ya  Standard Gauge.
DSC_0632
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo  pamoja na baadhi ya wanajeshi wakiangalia jinsi mataaluma yanavyotengenezwa katika kituo cha Soga.
DSC_0627
Mataaluma yakitengenezwa kiwandani
DSC_0633
DSC_0640
DSC_0645
Mitambo  ya kiwanda cha Soga kinachotengeneza mataaluma.
DSC_0665
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo  akizungumza na waandishi wa habari  katika kituo cha soga mara baada ya kutembelea na kukagua jinsi mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa standard george.
DSC_0683
DSC_0686Baadhi ya mataaluma kushoto yakiwa tayari kwa kutandikwa reli ya kisasa ya standard gaurge.
DSC_0697
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania(TRC) Masanja Kadogosa  akitoa maelezo kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance  Mabeyo wakati alipoembelea ujenzi wa reli ya kisasa ya standarge gaurge.
DSC_0717
Sehemu ya reli ambayo imekamilika.