PMO_3011
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na  Mbunge wa Kibakwe George Simbachawene, wakati akiwasili Wilayani Mpwapwa, akiwa anamalizia ziara yake mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018, katikati ni Mke wa Waziri Mkuu Marry Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_3014
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na  Mbunge wa Mpwapwa George Lubeleje, wakati akiwasili Wilayani Mpwapwa, akiwa anamalizia ziara yake mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018, kutoka kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Marry Majaliwa, Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Jabir Shekimweri, Mbunge wa Kibakwe George Simbachawene, Mkurugenzi wa Katibu Tawala Mkoa Dodoma Maduka Kessy.
PMO_3029
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua ujenzi wa kituo cha afya Kibakwe Wilayani Mpwapwa, akiwa kwenye ziara mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018, kulia ni Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dk. Said Ali Mauji.
PMO_3090
 Mke wa Waziri Mkuu Marry Majaliwa, akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Godwin Mkanwa, kwenye ziara ya Waziri Mkuu mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018.
PMO_3095
PMO_3098
 Wananchi wa Kata ya Kibakwe wilayani Mpwampwa wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati  akiwahutubia wananchi hao, akiwa kwenye ziara mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018.
PMO_3115
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Binilith Mahenge, akizungumza na wananchi wa Kibakwe wilayani Mpwampwa, kwenye ziara ya Waziri Mkuu mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018.
PMO_3117
PMO_3122
 Mke wa Waziri Mkuu Marry Majaliwa, akiwasalimia wananchi wa Kata ya Kibakwe wilayani Mpwampwa mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018.
PMO_3130
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na  Mbunge wa Mpwapwa George Lubeleje, baada ya kukagua ujenzi wa kituo cha afya Kibakwe Wilayani Mpwapwa, akiwa kwenye ziara ya mkoa Dodoma, Oktoba 10, 2018.
PMO_3158
PMO_3169
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kibakwe wilayani Mpwampwa, akiwa kwenye ziara mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018.