The Art of AKILI KUBWAZZ Sultan Makthoum wa Dubai ameitoa nchi yake kwenye jangwa Mwaka 1977 leo nchi yake ni ya tano Duniani kwa Wananchi wake kupata kipato bora Duniani ….Serikali ya Dubai ina policy ya kuhakikisha inampatia Nyumba ya kisasa kila raia wake kati ya Raia wake Millioni Mbili yaani wala haihitaji foleni Serikali inawajua Raia wake wote 2M wameorodheshwa kwa alphabet from A to Z toka Policy hii ipitishwe Mwaka 1990 mpaka leo karibu 3/4 ya raia wote wa Dubai wameshapatiwa nyumba yaani unakua kwenye waiting list siku moja unapigiwa simu unaitwa Serikalini unapewa raamani ya nyumba au unaombwa ulete yako mwenyewe inapewa Kiwanja cha kujengea unapigiwa mahesabu kipato chako kwa mfano kipato chako ni USD 1,000 kwa mwezi Serikali inaijenga nyumba yako yote haraka na inakulipia Nusu ya gharama za ujenzi wote mpaka kuisha then unakua unakatwa USD 150 kwa mwezi kulipia gharama iliyobaki maisha yanasonga ….now yote haya Sultan anayafanya bila kuomba ruhusa kwa yoyote yaani Vyama vya siasa wala Bunge Wananchi wa Taifa lake walishakubaliana kwamba Demokrasia ya Wazungu is good for Wazungu tu na ndio maana Wazungu wanamchukia sana huyu Sultani kwa sababu amewapiga Wazungu kwa maendeleo bila kutumia Demokrasia ambayo wao Wazungu wametuaminisha Africans kuwa huwezi kuendelea bila kuwa nayo ….halafu Wazungu hao hao wana msemo unaosema “INSANITY”…. “Repeating the same methods, while expecting defferent results” …yaani unatumia njia zile zile ukitegemea matokeo tofauti HAITAKUJA KUTOKEA ..Tanzania tulianza siasa za Demokrasia ya Vyama vingi Mwaka 1995 mpaka leo ni miaka 30 tunahangaishana tu na kupigizana makelele tu yaani its more than Stupidity kwa mtu mwenye Akili …Wazungu wamefikia maendeleo bila Demokrasia walipoendelea ndio wakaanzisha Demokrasia ni baada ya Industrial Revolution yao ya 1960s wakajikuta Viwanda vyao vimetengeneza bidhaa ambazo zinakosa wanunuzi kwa sababu ya kutokuwa Inclusive katika siasa zao ndio kwa mara ya kwanza wakaanza hata kumuhesabu Mwanamke kuwa ni binadam ..sisi njaa zetu tunapokea tu ujinga wa Demokrasia bila hata kuuliza maswali its about time we suspend democracy mazafantazzz! – @Lemutuz