Kuna taarifa kuwa mwanachama maarufu wa Simba na bilionea kijana wa Simba, Mohamed Dewji ametekwa na watu wasiojulikana.

Imeelezwa Mo ametekwa na watu walio na silaha za moto wakati akiingia gym ya Collesium jijini Dar es Salaam.