Muimbaji Ben Pol amesimulia yaliyowai kumkuta alipopata ajali ya kuzama majini pindi alivyowai kwenda Mbudya kutembea ikiwa ni siku chache toka mtayarishaji wa muziki wa bongofleva Pacho Latino apoteze maisha ambapo amesema kwamba ajali aliyowai kuipata Mbudya ilimfanya asipasahau.