GY1A8524
 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Etoo, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.
GY1A8536
 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Etoo, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.
GY1A8554
 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea jezi yenye jina la Mchezaji huyo ambaye pia ni Balozi wa Bia ya Castle Lager, Samuel Etoo, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.

GY1A8547

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipeana mkono na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Etoo, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.
GY1A8559
 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Etoo (kulia kwake)  na Balozi wa Bia ya Castle Lager hapa nchini, Ivo Mapunda (kushoto kwake), pamoja na ukumbe walioambayana nao.
GY1A8571
 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akikiwa ameambatana na Mgeni wake Mchezaji Samuel Etoo na ujumbe wake wakati akiwasindikiza baada ya mazungumzo yao leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.
GY1A8600
 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiagana na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Etoo, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.
GY1A8641
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Msanii Dokii kwa Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Etoo, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.