V25A0198
V25A00225
Mwenyekiti  kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi, Mhe. Oscar Mukasa akiongoza kikao cha pamoja baina ya Wajumbe wa kamati hiyo na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo na watendaji wake wakati wa kupokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhusu hatua iliyofikiwa katika utafiti wa upatikanaji wa chanjo ya Ukimwi nchini kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
V25A0161
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo, Dkt. Faustine Ndugulile akitoa ufafanuzi  mbele ya Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi katika majadiliano ya taarifa ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhusu hatua iliyofikiwa katika utafiti wa upatikanaji wa chanjo ya Ukimwi nchini katika kikao kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
V25A0067
 Mjumbe wa Mwenyekiti  kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi, Mhe. Albert  Ntabaliba Obama akizungumza jambo katika majadiliano na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo na watendaji wake wakati wa kupokea taarifa ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhusu hatua iliyofikiwa katika utafiti wa upatikanaji wa chanjo ya Ukimwi nchini kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodo
V25A0090
 Mjumbe wa Mwenyekiti  kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi, Mhe. Godfrey Mgimwa akizungumza jambo katika majadiliano na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo na watendaji wake wakati wa kupokea taarifa ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhusu hatua iliyofikiwa katika utafiti wa upatikanaji wa chanjo ya Ukimwi nchini kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kulia ni Mjumbe wa kamati, Mhe. kemirembe Lwota.
V25A0128
 Katibu Mkuu, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo, Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza na wajumbe kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi wakati wa majadiliano ya taarifa ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhusu hatua iliyofikiwa katika utafiti wa upatikanaji wa chanjo ya Ukimwi nchini katika kikao kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo, Dkt. Faustine Ndugulile.