Taarifa kwa umma kutoka kwa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) ikielezea chanzo cha tatizo la mabasi hayo kuchelewa kufika kwenye vituo pamoja na mabadiliko ya ratiba ikihusisha kuongezeka kwa muda wa kutoa huduma kwa usiku (hadi Saa Sita) na kuanza mapema saa 10:30 alfajiri