The Art of Super Technology as we try to make a sense ya kilichomtokea ndugu yetu Mo Dewji ni muhimu pia kujaribu kuelimishana kuhusu suala zima la “Abduction” ambalo kwa nchi kama yetu ni dalili ya kushamiri kwa sera za Kibepari yaani Capitalism haya ni mambo ya kawaida sana katika nchi zenye sera za Kibepari lakini ni mambo mapya kabisa katika nchi kama yetu ambayo ndio kwanza bado tunapitia Hangovers za Socialism …I am coming from Criminology School of thoughts ambapo in almost a perfect system of technology life kama USA nilikosomea hii ilitakiwa kuwa kesi ndogo sana kwa FBI ambao wapo Mile Moja mbele katika Technology kuliko the Bad guys kwa sababu kufanyika kwa tukio kama hili kunahitaji 90% ya Mawasiliano ya Cellphone tena kwa kutumia watsap autelegram dhana ambazo ni almost impossible kuziingilia ukitaka record ya mtumiaji cause wamezitengeneza so smartly that ukiigusa tu namba ya mtu inampa automatic alert kuwa kuna mtu anataka kuingia kwenye account yako inaku block lakini FBI wanakuwa na special systems za kuingia bila wewe mwenye simu kujua….kwa mfano FBI wapo so advanced that kwenye kesi kama hii wangewachukua wale wote walio ona kwa macho kilichotokea wangewakalisha chini na Mchoraji wao maalum ili waeleze kila walichokiona huku jamaa anachora chini trust me by the time wamemaliza kutoa maelezo mchoraji alishamaliza kuchora kila kitu walichokisema FBI wanachukua zile picha zilizochorwa na kwenda kuzi Scan kwenye Google Storage niamini Google itatoa some useful information like gari lililotumika plate namba za gari na pia hata info za mmoja au wahusika wote wa tukio na haya yote ywameyafanya yawezekanike kwa kutumia Tools kama hizi Instagram, Facebook, Watsap na Google Storage through smart phones..ni kwamba unaponunua tu smart phone automatically inapeleka info zako zote Google Storage whether you like it or not na kule zile info zinaenda kuwa stored for the rest of your life..besides Hotel kubwa kama ile ya eneo la tukio ilitakiwa kuwa na very powerful CCTV Cameras na mtu maalum kwenye chumba maalum ndio maana Majuu ukiiba Super Market unakamatwa mara moja cause huyu mtu kutoka ndani anakuwa ameshakuona!..THANKS