Video vixen na Msanii wa muziki wa Bongo fleva Gift Stanford maarufu kama Gigy Money ameibuka na kuwachana wadada wenye tabia ya kutukanana kwenye mitandao ya kijamii.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa InstagramGigy Money ameandika haya ” Good Morning everybody
Kuna vitu vinaniboa sana lakini sina mana yakutetea ujinga unajua Urafikii unamatabaka mengi na sio kira Rafiki anamaanisha Urafikii Wengine kwa mm wanakujaga wanataka kiki tu so ni Vivy o Hivyoo kwa mtu ambae sio star kuna Wengine wanakuja kwenye maisha yako waweee MAARUFU tu Then muanze kutukanana mitandaoni kwakigezo cha anajua siri zako maybe which is so bad to us girls Aibu kubwa kuzidi ya nandy 🤣
Then labda kesho uwe Na Bwana ake iliiii iweje sijui

Ila tunasahau kwamba sisi wanawake mm katika ukuaji wangu Nilikuwa nakatabia kakuwanyea mastar enzi izo sikuwahi kuvaa viatu vyao wanavyojisikia hao bila ata kujali nawakwaza nakuwaboa mm nilikua busy @shilolekiuno_badgirlshishi saiv Mme ni Dada Angu ata Kwenye malezi ya mwanangu ananisaidia kimawazo lakini miaka michache nyuma mm nlikua namuongelea vibaya shishi bila kujali ni mama au anamawazo gani kwa mda huo so leo nachukua nafasi Kumwambiaa samahani Da zuu kwani sikua najua mm ntakua mama labda au nilikua najiona keki kumbe maandazi so turudi kwa marafiki zangu mnao dharilishana insta mnafikiri kuna mtu atawaambia acha Ugomvii no baby’s sisi tunacheka Tu wenzenu alafu kibaya zaidi mnaboa Sana Wote mna njaa kama mm bora huo muda mnatype kumgoombea CEO mngeomba Interview msogeze majina yenu labda mtafika mana mm naona bado sana bora ata mzazi mwenzangu mumewe ana pesa matuzo BET sasa we Zangu mm mbona mnatiana aibu kuroga kuroga wtf is that sijuiiii shepuuuuuu heeeeeeeee mm nlikua Na shepu nlikua naitwa Gigy money aka msambwanda saivi naitwa Gigy Mahelaa Gigy Kiki Maisha ni mzunguko akuna kitu Cha kileleshwa Everything is temporary so mnamaliza MB wenzenu wanamagari ma3 majumba ma3 that’s success Na Unaonaa kabisa anavyo jituma mpaka hamjui Mobetto🤣🤣🤣🤣 sa mbagombana wakati life is makanga biriti alafu Na shoga Angu usiwajibu watoto nje ya ustar we sister wangu unajina kubwa sana hit song More than3 sasa ya nn kugombana Na mbu akati we Rungu Na wengine mnamiradi biashara Na makeup juu sasa makelele ya nn mnawashwa sana shikeni mimba mtatulia tuli 🤣🤣🤣 Afu kumbe watu hawasahau Mwanamke jeuri dawa yake muibie mumewe ni kweli ila mda unaiba wa wenzio Je wako umemuekea sinyengee🤣