833A8233
Msajili wa Hazina, Athumani Selemani Mbuttuka (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) alipokuwa akimkaribisha ofisini kwake, jijini Dar es salaam alipokwenda kwa lengo la kujitambulisha. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay.
833A8282
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (wa tatu kushoto) akizungumza wakati akielezea mipango na mikati yake kwa Benki hiyo, kwa Msajili wa Hazina, Athumani Selemani Mbuttuka (kushoto) wakati alipompembelea ofisini kwake jijini Dar es salaam, alipokwenda kwa lengo la kujitambulisha.