Aliyewahi kuwa Miss Tanzania miaka ya nyuma lilian kamazima ameshambuliwa na kurasa za udaku katika itandao ya kijamii huku kosa kubwa  akituhumiwa kusababisha kifo cha mtoto wa mchungaji aliyefariki October 1 mwaka huu.

Kijana huyo aliejulikana kwa jina la Joshua alifariki mwezI huu huku sababu ya kifo chake ikiwa haijatangazwa lakini kwa inavyosemekana na habariza chinichini ni kwamba kijana huyo alikuwa katika depression ya muda mrefu .

Habari zinaeleza kuwa mwanadada huyo aliwahi kuchumbiwa na kigogo mmoja jijini kutokana na uwepo wa pesa mwanadada huyo aliamua kuzaa lakini baada ya hapo maisha ya kigogo yalianza kuyumba na kujikuta akihamisha majeshi kwa mtoto wa mchungaji.

Hata hivyo kutokana na maadili alikuwa nayo mtoto wa mchungaji. ilikuwa kama kitendawili kwa Lilian hivyo kushindwa kuendana na maisha ya kichungaji ilhali mwanaume huyo akimhudumia kwa kila kitu na hata kumlea mtoto alieachwa na baba yake kama wake.

hata hivyo lilian hakueza na maisha hayo hivo alijikuta akiingia katikamahusiano na mwanaume mwingine huku bado akiwa na kijana huyo, baada ya kijana huyo kugundua  waliingia katika mgogoro lakini mwanaume akionekana kuumia na hata kujitoa katika mitandao ya kijamii kwa muda mrefu huku post zake nyingi zikimuonyesha kuwa mt alieumizwa.