Zamaradi Ashangazwa na Comments ya Shamsa "Wewe Si Mke wa Mtu Jamani"

Mwanadada Zamaradi Mketema ameshindwa kuficha hisia zake baada ya kuona maoni ya rafiki yake kipenzi Shamsa Ford katika post ya Irene Uwoya iliokuwa na lengo la kuwasema wanaume wenye tabia  ya kuchepuka na baadae wakiachwa wanaanza kulialia kuwa wameonewa.

Siku ya jana , Uwoya aliweka post yenye capton nzito katika ukiurasa wake wa isntagram huku akisema kuwa kama mtu unakuwa katika mahusiano na unaona kuwa hayana muelekeo ni bora kuachana nayo na sio kuanza kujipa stress na mawazo kushindw akufanya vitu vya maana, kitu ambacho ni cha wazi kwake kutokana na kwamba kwa sasa amechana na mume wake aliefunga nae ndoa Dogo janja.

Ambapo baada ya hapo Shamsa alijibu :hivi kuna watu bado wanalia, niwaze maisha ya terry alafu bado nimfikili mwanaume aliyezaliwa na mwanamke mwenzangu. mmmmh hapana tutakutana mbinguni “

Baada ya comments hiyo , Zamaradi nae hakutaka kufanya hajaona maneno ya shamsa na kumjibu ” @shamsaford mmmmmh mbona kama ya moyoni….ila wes i mke wa mtu jamanii ‘