Tanzania ndio nchini iliyotoa wasanii wengi zaidi watakaotumbuiza kwenye tamasha la One Africa Music Fest, Dubai.

Wasanii hao ni Diamond Platnumz, Vanessa Mdee na Nandy, huku Kenya ikitoa msanii mmoja ambaye ni Akothee, tamasha hilo litafanyika November 16, 2018.

Wasanii wengine ni pamoja na Souhilla Ben Lachhab, Skales, Kizz Daniel, Nasty C, Nandy, Tiva Savage, Banky W,  Nhatty Man, Niniola, Eddie Kenzo, Wizkid, Lij Michael, Kranium, Awilo, Wande Coal, Davido, Betty G, Sarkodie, Akothee na Tekno.