Kingereza cha Gigy Money Chazua Gumzo Mwenyewe Awatolea Uvivu Wanaomcheka

Msanii  wa Bongo Fleva, Gift Starnford maarufu Gigy Money,hivi karibuni alifanyiwa mahojiano na BBC na kufunguka mambo mengi juu ya maisha yake lakini na interview hiyo mjadara umekuwa mzito mtandaoni juu ya kingereza cha gigi alichokitumia.

Watu wengi wamekichambua na kumtolea povu kuwa hajui kingereza chake mwenyewe Gigy money baada ya mjadala mzito ameibuka katika ukrasa wake wa instagramu na kuwatolea povu wanaomcheka na kuandika hivi;

 ETI Kingerezaa nmejulia wapi Gigy BBC ft @jonijohairtz Hatarii Hatarii