Rapa Nay wa Mitego Oktoba 17, 2018 ameitwa tena na BASATA na kupewa barua ambayo yeye mwenye amedai kuwa inamtaka ahudhurie kwenye kikao kitakachofanyika Oktoba 21 mwaka huu.

Nay amesema kuwa huenda wimbo wake wa Alisema ukawa wa mwisho kwani amechoka kusumbuliwa na BASATA na hawezi kubadilisha aina ya muziki anaoufanya.