Bado inaonekaka kuwa hakuna mahusiano mazuri kati ya Nikki Mbishi na Godzilla.

Hii ni baada ya Nikki Mbishi kupomosha matusi mtandaoni kwenda kwa Godzilla na sio mara ya kwanza kwa wawili hao kuzinguana. Leo kupitia mtandao wa twitter, Nikki Mbishi ameandika;.

We jamaa King Zillah (Godzilla) MATAK**** sana unawezaje kunitukania mama yangu?Kwani mimi ndo nilikuumba na huo UWAKI wako ambao umefanya game likutupe?.

 Utakumbuka June mwaka huu Godzilla alikuwa kwenye vita ya maneno ya Wakazi hadi kupelekea Wakazi kuingia studio na kuachia diss track iliyokwenda kwa jina la Zillnass Zillnass (Clown Rapper) na ukawa mwisho wa bifu lao.

SHARE
Previous article
Next articleJOTI AFUNGUKA KUHUSU ‘COMEDY SHOW’