Unaambiwaje,  baada ya Wema sepetu wengine humwita tanzania sweetheart na wengine humwita Madam kuamua kufungua na kumuonyesha live mume wake mtarajiwa kupitia mtandao wa instagram,  msanii wa kiume Ambae anafanya vizuri kwenye soko la kimataifa la muziki,  Nasibu Abdul maarufu kama Diamond platnumz ambae aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wema sepetu amejibu posti ya wema ya kumtambulisha mume mpya.

Katika hali hiyo msanii Diamond nae amefunguka kwa kuposti picha yake kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika kuwa your “future husband…. Au sifai” akimaanisha kuwa mume wako mtarajiwa au sifai?  Ambapo baada ya posti hiyo yule ambae ametambulisha na sepetu alikamata simu yake na kumjibu msanii nasibu abdul au Diamond platnumz kuwa asubir kwani ndo ni tarehe 25.