Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu anazidi kuchukua headlines kwenye mitandao ya kijamii na hii ni baada ya kumuonyesha mume wake mtarajiwa kupitia ukurasa wake wa instagram siku ya Jumatano October 17,2018.  Leo October 18,2018 Wema Sepetu amewakumbusha mashabiki msemo unaosema mapenzi ni upofu na kwa upande wake haoni,ujumbe huu ameuandika baada ya kupost video clip akiwa na mwanaume huyo ambaye hadi kwa sasa hajatambulika jina lake halisi.  Wema Sepetu amezidi kusisitiza kupitia ukurasa wake wa instagram kuwa kwa sasa alipo anafuraha na amechoshwa na maneno ya watu ya kila siku na kusema kuwa mangapi yamesemwa juu yake.  “Wanasema mapenzi ni upofu na ninafikiri siwezi kuona, nakupenda mpenzi na hichi ndicho cha muhimu sisi dhidi ya dunia na iwe tu, Nimeshachoka mangapi yamesemwa bwana? bora nibaki nae tu, ananifanya niwe na furaha hata iweje” >>>Wema Sepetu

Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu anazidi kuchukua headlines kwenye mitandao ya kijamii na hii ni baada ya kumuonyesha mume wake mtarajiwa kupitia ukurasa wake wa instagram siku ya Jumatano October 17,2018.

Leo October 18,2018 Wema Sepetu amewakumbusha mashabiki msemo unaosema mapenzi ni upofu na kwa upande wake haoni,ujumbe huu ameuandika baada ya kupost video clip akiwa na mwanaume huyo ambaye hadi kwa sasa hajatambulika jina lake halisi.

Wema Sepetu amezidi kusisitiza kupitia ukurasa wake wa instagram kuwa kwa sasa alipo anafuraha na amechoshwa na maneno ya watu ya kila siku na kusema kuwa mangapi yamesemwa juu yake.

“Wanasema mapenzi ni upofu na ninafikiri siwezi kuona, nakupenda mpenzi na hichi ndicho cha muhimu sisi dhidi ya dunia na iwe tu, Nimeshachoka mangapi yamesemwa bwana? bora nibaki nae tu, ananifanya niwe na furaha hata iweje”Wema Sepetu