The Art of Zero Brain video picha za jana za hawa Vijana wakiwa mahakamani na Amba Rut akiwa ana struggle kukaa tayari zimeanza sauti za Wanafiki wanaodai eti imetosha na kwamba ati hakuna binadam mwenye haki ya kuhukumu wengine na kwamba usifurahie matatizo ya wengine anyways all and all ule ule Uswahili Uswahili wetu Wabongo wa kama kawaida KUTOKUJUA TUNACHOTAKA na infact hata KUTOKUJUA KINACHOENDELEA …guys hakuna mtu mwenye tatizo na hawa vijana tatizo ni matendo yao ambayo ni bad influence kwa watoto wetu na watoto wao na alichokifanya Amba Rut na Hubby wake ni a CRIME AGAINST THE STATE yaani wamevunja Sheria za Jamhuri za kuingiliana kinyume na Maumbile kujirekodi na kusambaza uchafu wao kwa jamii now kwa haya yote Mungu unamungizia wapi? Mungu anahusika vipi na huu uchafu? ….Mungu anataka tutii sheria na infact anasema siku zote yupo sawa na Sheria za Mamlaka kwa wale msiofahamu Marekani kwenye Super Demokrasia ukiua mtu na wewe unahukumiwa kunyongwa na siku ya Kunyongwa kwako familia ya ndugu uliyemuua wanaruhusiwa kuja kushuhudia ukinyongwa nia na madhumuni ni kuhakikisha haki inatendeka yaani binadam by nature tumezaliwa ni Wabinafsi Selfish Creatures furaha yetu ni siku zote kuona revenge kwa waliotukosea so kama uliua na wewe ukinyongwa ni furaha kwa uliowapotezea ndugu yao na wakimaliza kukunyonga wanawahoji kwenye media wanonyesha furaha yao kwamba hatimaye JUSTICE IMETENDEKA..sasa niambieni Mungu anahusika vipi hapo? ohhh sijui hujafa hujaumbika inahusu nini hapo? .Watanzania tujifunzeni kuwa serious na ishus ambazo ni serious kwa Taifa na Jamii Maadili ya Taifa yanaanzia nyumbani mwa Wananchi wa Taifa tuache Unafiki Nafiki na Ujanja Ujanja wa maneno cause kumbuka kabla Amba Rut na Hubby wake hawajakamatwa walishaanza ku claim fame za video yao ni mpaka Serikali ilipoingilia sasa kuna wanaoanza kudai imetosha na hakuna binadam wa kuwahukumu..wengi hamkutegemea kuwa Serikali ipo serious mlidhani yatapita tu hivi hivi..please hakuna binadam anayeweza kufurahia binadam mwingine kuteseka lakini KAFARA YA AMBA NA HUBBY ili kuokoa mamilioni ya watoto wa Taifa miaka 10 ijayo ni JUSTIFIED! and this CASE IS CLOSED! – @lemutuz_super