Wema Atakufa na Awezi Kuolewa na Mtu- Mchungaji Daudi Mashori

Mchungaji anaejjiita wa mitume na manabii Daudi Mashimo, amelivaa sakata la wema ambalo alipanga kufanya mkesha juu ya wema kuhusiana na mwenendo wake na maisha yake ambapo amedai kuwa wema ni mtumishi wa mungu na mungu na aliotesha afanye mkesha kwaajili ya kumuombea wema.

Vilevile amesema kuwa mwanadada na mwigizaji wa filamu Wema sepetu hataolewa nje ya Tanzania na kusisitiza kuwa yule ambae alionekana kuwa ana mahusiano na wema ni mtu alietumwa