Afya ya Hawa Yaimarika Daimond Ahaidi Kumfungulia Biashara

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz amefurahishwa na habari zilizoenea za kuwa Hawa anaendelea vizuri baada ya kumgharamia matibabu yake.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandiaka hivi:-Nafarijika Kuona Unatabasamu sasa……nitafurahi kusikia wazo zuri la biashara toka kwako nikuwezeshe 🙏🏻 #HawaIsSmilingNow