Miss Tanzania 2018 @queenelizabethtanzania tayari ameanza safari yake kuelekea Sanya, China kwa ajili ya mashindano ya Miss World ambayo yanategemea kuanza hivi karibuni.