Msanii wa Bongofleva Dogo Janja leo amerudi kwenye Shule aliyosoma kuanzia Darasa la Kwanza hadi la Saba Shule ya Ungalimited nakutoa ndoo Ishirini za rangi pamoja na kukarabati Shule hiyo kwa kuezeka Mabati

Kupitia akauntti ya Madee ameandika ; leo mapema @dogojanjatz alirudi kwenye shule #Ungalimited alisomalakwanza mpaka la saba na kutoa ahadi ya kupiga rangi shule nzima na bila kuchelewa akapiga simu kuwandani na kuletwa ndoo kama zote … pia atapiga bati shule nzima