Timu nzima ya Wasafi wakiwasili katika kiwanja cha ndege mkoani Sumbawanga, na baadhi ya wanafunzi wagoma kuingia darasani huku maeneo mbalimbali ya biashara yakiwa yamefungwa wakati wasanii hao walipokuwa wakiingia mkoani hapo kwa ajili ya kukiwasha katika tamasha la Wasafi Festival litakalo fanyika siku ya j,mosi.