Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu (CC) ya CCM kilichokutana jijini Dar es salaam leo Desemba 17, 2018.