Le Mutuz Superbrand wikiendi iliyopita ameonekana na mtoto mzuri inayesemekana alimtembelea Dar akitokea Nairobi/Kenya, Mrembo huyo anayetumia jina la Milkha alionekana sana na Mfalme huyo wa mitandao kwa siku kama mbili tatu na hatimaye aliondoka kurudi kwao Nairobi. Le Mutuz hivi karibuni alitangaza kumchumbia mchumba mpya bado kuthibitishwa kama ni huyu mrembo kutoka Kenya. Blog hii inaendelea kufuatilia habari hii.