lemutuz
ASSAs
DSTV

BIKO
state oil
Samaki Samaki

KWA UMRI WANGU SIWEZI KUWA SINGLE

Msanii wa kike katika kiwanda cha Bongo Fleva, Mwasiti amesema kuwa kwa sasa hawezi tena kudanganya katika 'interview' kuwa yuko single kama zamani kwasbabu ya umri wake. Akizungumza kwenye Friday...

DIAMOND AFANYA KUFURU MWANZA AONYESHA MABURUNGUTU YA PESA

Wazungu wanasema ‘HARD WORK WORK PAYS OFF’ na msemo huo unakuja kujidhirisha kwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ambaye ameonesha miburungutu ya fedha baada ya kufanya...

CHIDDI MAPENZI AFUNGUKA KUACHANA NA SHAMSA FORD

Mfanyabiashara maarufu, Chiddi Mapenzi amefunguka kuhusu kuachana na mke wake ambaye ni msanii wa filamu, Shamsa Ford. Chiddi kwenye Friday Night Live ya EATV amesema kuwa msanii huyo bado ni...

JIBU LA PETIT BAADA YA KUACHANA NA ESMA PLATNUMZ

Aliyekuwa mume wa Dada wa msanii Diamond Platnumz, Petit Man Wakuache amesema kuwa hana ugomvi na familia ya kina Esma Platnumz baada ya kuachana na ndugu yao. Petit amesema kuwa ...

BEN POL AFUNGUKA BIASHARA ANAYOSHIRIKIANA NA HORMONIZE

Muimbaji wa muziki wa R&B Ben Pol amejibu ni kwanini wimbo wake uitwao 'Why' upo kwenye channel ya YouTube ya Harmonize. Muimbaji huyo  amesema hilo limefanyika kutokana na sababu za...

ALIKIBA AJA NA MZIKI WA TOFAUTI

Msanii wa Bongo Fleva AliKiba ambaye pia anamiliki lebo yenye wasanii wanne akiwemo mdogo wake Abdukiba amefunguka kuwa wako njiani kuandaa wimbo wenye mahadhi ya mduara. Kiongozi huyo wa kundi...

SISTER P ARUDI NA JINA JIPYA

Msanii wa kike aliyejipatia umaarufu kupitia mtindo wa kuchana Sister P, anasema amebadilisha jina lake kwa sasa na anatambulika kama P Matata. Sister P ameiambia eNewz sababu ya kubadilisha jina...

BARAKAH THE PRINCE AFUNGUKA ISHU YA KUFILISIKA

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Barakah The Prince ishu ya watu kudai kuwa amefilika. Barakah amesema kuwa yeye hajawahi kuwa tajiri na hivyo kwasasa ndio ameanza kuitafuta...

CALISAH ATAJA LIST YA ALIOKUWA NAO KIMAPENZI 2018

Mwanamitindo maarufu wa kiume Bongo ambaye pia hivi sasa ni Mr. Africa Calisah Abdul ameanika Listi nzima ya mastaa wa kike ambao amewahi kuwa nao kwenye mahusiano. Calisah amefunguka hayo...

VANESSA AWATOLEA POVU TRACE

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Vanessa Mdee ameamua kuweka wazi hisia zake na kukitolea uvivu kituo cha utoaji habari cha Trace Muziki kilichopo nchini Kenya. Msanii huyo kupitia ukurasa...

Stay connected

142,065FansLike
0FollowersFollow
5,819FollowersFollow
110,714SubscribersSubscribe
Powered by Live Score & Live Score App