NYUMBA YA LUGUMI MBWENI YASHINDIKANA KUUZWA

Nyumba ya Lugumi iliyoko JKT Mbweni ambayo leo imeshindikana kuuzika baada ya waliotaka kuinunua kukomea kiwango cha Sh. milioni 510, hivyo kutofikia kiwango kilichotakiwa na Mamlaka ya Mapato nchini...

AJALI MBAYA YAUWA WATU 10 NA KUJERUHI 24 MKOANI SINGIDA

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=E77aWh1fR_k] Watu kumi wamekufa na wengine 24 kujeruhiwa baada ya gari aina ya Toyota Hiace kugongana uso kwa uso na gari aina ya Toyota Noah, katika eneo la Ihuka...

RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MBUNGE WA SONGEA MJINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri, Mhe Job Ndugai kufuatia kifo cha Mbunge wa...

KESI YA KINA RUGEMALIRA YAAHIRISHWA HADI DESEMBA 8

James Rugemalira (aliyepunga mkono kushoto) na Harbinder Singh wakitoka katika mahakama ya Kisutu katika moja ya matukio ambapo kesi yao ilisikilizwa.KESI ya James Rugemalira na Harbinder Sing Sethi imeahirishwa...

SIRI WAPINZANI KURUDI CCM YAFICHUKA!

Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha. IMEPITA miezi kadhaa tangu kuibuka kwa wimbi la wapinzani kurudi na wengine kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo gazeti hili limetonywa...

IKULU YAKANUSHA TAARIFA YA UTEUZI

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imekanusha taarifa za uteuzi zinazosambaa mitaondaoni ikiwa na majina ya wafuasi wa Chadema Taarifa iliyotolewa asubuhi hii na Mkurugenzi wa mawasiliano IkuluĀ  Gerson Msigwa...

KAFULILA : NDOA YANGU HAIHUSIANI NA SIASA

Daudi Kafulila ambaye hapo jana amekihama chama cha CHADEMA, amesema suala la mke wake kuridhia au kutoridhia kwa yeye kuhama chama wakati yeye ni Mbunge wa chama hiko, ni...

WAZIRI MKUU APIGA MARUFUKU CHUO KIKUU CHA ARDHI KUKODI MAKAMPUNI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekipiga marufuku Chuo Kikuu Ardhi kukodi makampuni ya kufanya kazi mbalimbali kwa niaba yake. Amesema kitendo hicho kinaharibu kazi na sifa ya chuo hicho kwa kuwa...

MUGABE KUHUDHURIA SHEREHE YA KUAPISHWA RAIS MPYA WA ZIMBABWE MNANGAGWA

Robert Mugabe anatarajiwa kuhudhuria kuapishwa kwa rais mpya wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa kulingana na runinga ya habari ya taifa hilo ZBC .Maandalizi yameanza katika uwanja wa kitaifa wa michezo...

MKE WA MUGABE ANAYETISHA KWA MATUMIZI

Grace Mugabe (52) akiwa na mume wake. JINA la Grace Mugabe (52), kwa sasa ni maarufu barani Afrika hadi nje ya bara hilo. Hii ni kwa sababu ametawala vyombo...

Stay connected

124,593FansLike
489,175FollowersFollow
5,034FollowersFollow
2,666SubscribersSubscribe
Powered by Live Score & Live Score App