lemutuz
ASSAs
DSTV

BIKO
state oil
Samaki Samaki

MORATA AUMIA KWENYE GOTI CHELSEA WAKITOKA SARE HUNGARY

Mshambuliaji wa Chelsea Alvaro Morata anauguza jeraha la goti baada ya kuumia katika mechi ambayo walitoka sare 2-2 na MOL Vidi Europa League, mechi ambayo haikuwa na umuhimu sana...

KRC GENK YA SAMATTA KILELENI

KRC Genk ya Ubelgiji anayoichezea Mtanzania Mbwana Ally Samatta ilimaliza kileleni katika Kundi I baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Sarpsborg 08. Mabao ya Genk yalifungwa na Zinho Gano...

LAURENT KOSCIELNY AREJEA ARSENAL WAKIWASHINDA QARABAG

Laurent Koscielny alicheza mechi yake ya kwanza tangu Mei na kuwasaidia Arsenal kumaliza mechi zao za hatua ya muondoano kwa ushindi rahisi dhidi ya Qarabag uwanjani Emirates. Vijana hao wa...

BOBAN ATUA RASMI YANGA

Kwa mujibu wa ripoti, klabu ya Yanga imemalizana na kiungo wa  zamani wa Simba ambaye anakipiga na African Lyon, Haruna Moshi 'Boban' kwa kumpa mkataba wa kuitumikia klabu hiyo...

MSHAMBULIAJI WA SIMBA ATUA KMC

Ikiwa zimebaki siku mbili kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa, klabu ya soka ya KMC ya Kinondonoi imefanikiwa kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Simba Mohamed Rashid. KMC imethibitisha kupata...

TFF YAPIGWA MARUFUKU NA MAHAKAMA

Mahakama Kuu ya Tanzania leo, Desemba 13, 2018, imetoa amri ya kuzuia TFF kujaza nafasi ya mjumbe wa kamati ya utendaji ya shirikisho la soka nchini Danstan Mkundi. Jaji Kiongozi...

MANARA ASHANGAA UKUBWA WA JINA LAKE NCHINI ZAMBIA

Afisa habari wa klabu ya 'Wekundu wa Msimbazi' Simba, Haji Manara ameonesha kushangazwa na jinsi jina lake lilivyo na umaarufu nchini Zambia ambako klabu hiyo imepiga kambi kwaajili ya...

YANGA WAWEKA WAZI USAJIRI WA HARUNA MOSHI

Vinara wa ligi kuu soka Tanzania bara, klabu ya Yanga, imeweka wazi kuwa haina mpango wa kumsajili kiungo wa zamani wa Simba ambaye kwasasa anaichezea African Lyon Haruna Moshi...

ZAHERA AWAPA MTIHANI MZITO WACHEZAJI WA YANGA

Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa bado wachezaji wake wanapaswa kuendelea kupambana katika michezo yao ya Ligi Kuu ili kupata matokeo chanya. Zahera amesema kikubwa ambacho kinamfanya aweze...

TFF YATOA UFAFANUZI UTATA WA MILLIONI 300

Shirikisho la soka nchini TFF, limejitokeza na kutoa ufafanuzi juu ya taarifa zinazosambaa kuwa ndani ya chombo hicho cha juu cha soka nchini, kuna ubadhilifu wa shilingi milioni 300. Kupitia...

Stay connected

142,065FansLike
0FollowersFollow
5,819FollowersFollow
110,714SubscribersSubscribe
Powered by Live Score & Live Score App