Lemutuz Blog
Asas group
Dstv
GSM Mall
Biko
Nic Tanzania
Next Door
State oil
Liqui Molly

WAZIR MKUU MAJALIWA : KIJIJI CHA CHIMBILA B KUSAMBAZIWA MAJI.

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mnacho iliyopo katika Kijiji cha Chimbila B, Kata ya Mnacho Wilayani Ruangwa, akiwa kwenye ziara yake ya kikazi...

SHAMSA NA FAIZA WAMSHAMBULIA ZARI

Wasanii wa bongo movies nchini wamefunguka na kumshambulia mwanamama Zari The Bossy kwa kile kinachosemekana kuwa mwanadada huyo amekuwa na dharau sana kwa watanzania na kwamba amekuwa akimtesa sana...

RC HAPI : NILIPATA TABU SANA KINONDONI

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally  Salum Hapi ameweka wazi  siri ya kufanikiwa kwake katika siasa na uongozi nchini kuwa ni kujituma huku akisema eneo alilopata tabu katika masuala...

RAY C NA HAMISA MOBETTO NDANI YA BIFU ZITO NA ZARI AINGIZWA

Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo fleva Rehema Chalamila maarufu kama Ray C amejikuta katikati ya bifu zito na mzazi mwenza wa Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto. Sintofahamu hiyo Ilianza siku...

FAMILIA YA MUNA WAUNGANA NA PETER ZACHARIA

Kufuatia kifo cha mtoto wa Muna Love, Patrick aliyeaga dunia juzi Nairobi,Kenya akipatiwa matibabu, taarifa zenye mkanganyiko zimekuwa zikisambaa mitandaoni kuhusu nani ni baba halisi wa mtoto huyo huku...

KAJALA : SINA URAFIKI NA WEMA, NINA MARAFIKI WAPYA

Muigizaji wa Bongo movie Kajala Masanja amefunguka kuhusu urafiki wake na msanii mwenzake Wema Sepetu na kudai kwa sasa hawana urafiki tena. Wema na Kajala walikuwa marafiki wakubwa sana mara...

TRUMP: KOREA KASKAZINI BADO NI TISHIO KUBWA

Rais wa Marekani Donald Trump ameidhinisha upya vikwazo dhidi ya Korea kaskazini akitaja taifa hilo kuwa 'tishio liliso la kawaida' kutokana na silaha zake za nyuklia - siku 10...

ZARI NI JOGOO WA SHAMBA ALIYEWIKA MJINI

ZARINA Hassan ‘Zari’ amezima nyota ya Wema Sepetu na amefubaza mno muonekano wa kisupastaa wa wasanii wengi wa kike Bongo; bisha watu wakushangae. Zari alipokuja Bongo aligeuza msemo wa ‘mgeni njoo...

IRENE UWOYA AACHIA PICHA ZA UTATA MTANDAONI NA KUSEMA HAYA

Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya na mke halali wa mwanamuziki Dogo Janja amewatolea uvivu mashabiki zake kwenye mtandaoo wa kijamii kuwa sio wa kwanza yeye kuvaa nguo za...

BABU TALE : WAENDELEE KUSHINIKIZA WAFANYAKAZI WAO WASIPIGE NYIMBO ZETU NA SISI TUNAWAKATA.

Wasanii wa  kundi la  WCB wamezungumza kuhusu baadhi ya vyombo vya habari kutopiga nyimbo za wasanii wao. Miongoni mwa mameneja wa WCB, Babu Tale  katika mkutano na waandishi wa habari...

Stay connected

142,209FansLike
0FollowersFollow
5,317FollowersFollow
67,456SubscribersSubscribe
Powered by Live Score & Live Score App